103. Al-`Asr - Qurani
- 1. Naapa kwa Zama!
- 2. Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
- 3. Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.
1. Naapa kwa Zama!
2. Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
3. Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.