logo HARUN YAHYA

Al-Qadr - QURAN - Harun Yahya

  • 1. Hakika Sisi tumeiteremsha Qur`ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu.
  • 2. Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri?
  • 3. Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
  • 4. Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.
  • 5. Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri.
SHIRIKI
Facebook
X
WhatsApp
Telegram
QR Code
QR Code