109. Al-Kafirun - Qurani
- 1. Sema: Enyi makafiri!
- 2. Siabudu mnacho kiabudu;
- 3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
- 4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
- 5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
- 6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.