112. Al-Ikhlas - Qurani
- 1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
- 2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
- 3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.
- 4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.