logo HARUN YAHYA

At-Takathur - QURAN - Harun Yahya

  • 1. Kumekushughulisheni kutafuta wingi,
  • 2. Mpaka mje makaburini!
  • 3. Sivyo hivyo! Mtakuja jua!
  • 4. Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua!
  • 5. Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini,
  • 6. Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!
  • 7. Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini.
  • 8. Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema.
SHIRIKI
Facebook
X
WhatsApp
Telegram
QR Code
QR Code