• 1. Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,

  • 2. Na shari ya alivyo viumba,

  • 3. Na shari ya giza la usiku liingiapo,

  • 4. Na shari ya wanao pulizia mafundoni,

  • 5. Na shari ya hasidi anapo husudu.