logo HARUN YAHYA

Al-Fatihah - QURAN - Harun Yahya

  • 1. KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
  • 2. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
  • 3. Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
  • 4. Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
  • 5. Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
  • 6. Tuongoe njia iliyo nyooka,
  • 7. Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
SHIRIKI
Facebook
X
WhatsApp
Telegram
QR Code
QR Code