logo HARUN YAHYA

Az-Zalzalah - QURAN - Harun Yahya

  • 1. Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake!
  • 2. Na itakapo toa ardhi mizigo yake!
  • 3. Na mtu akasema: Ina nini?
  • 4. Siku hiyo itahadithia khabari zake.
  • 5. Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia!
  • 6. Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao!
  • 7. Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona!
  • 8. Na anaye tenda chembe ya uovu atauona!
SHIRIKI
Facebook
X
WhatsApp
Telegram
QR Code
QR Code