108. Al-Kawthar - Qurani
- 1. Hakika tumekupa kheri nyingi.
- 2. Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
- 3. Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.
1. Hakika tumekupa kheri nyingi.
2. Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
3. Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.