logo HARUN YAHYA

Ash-Sharh - QURAN - Harun Yahya

  • 1. Hatukukunjulia kifua chako?
  • 2. Na tukakuondolea mzigo wako,
  • 3. Ulio vunja mgongo wako?
  • 4. Na tukakunyanyulia utajo wako?
  • 5. Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi,
  • 6. Hakika pamoja na uzito upo wepesi.
  • 7. Na ukipata faragha, fanya juhudi.
  • 8. Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie.
SHIRIKI
Facebook
X
WhatsApp
Telegram
QR Code
QR Code