logo HARUN YAHYA

Al-Humazah - QURAN - Harun Yahya

  • 1. Ole wake kila safihi, msengenyaji!
  • 2. Aliye kusanya mali na kuyahisabu.
  • 3. Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele!
  • 4. Hasha! Atavurumishwa katika H`ut`ama.
  • 5. Na nani atakujuvya ni nini H`ut`ama?
  • 6. Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa.
  • 7. Ambao unapanda nyoyoni.
  • 8. Hakika huo utafungiwa nao
  • 9. Kwenye nguzo zilio nyooshwa.
SHIRIKI
Facebook
X
WhatsApp
Telegram
QR Code
QR Code